SHONDE ni msee huwa hanyamazi.Kama ni mara yako ya kwanza kuchill na yeye najua either utaboeka juu msee hanyamazi ama utamtii juu huyo msee hukuwa na stori zingine wazimu.Lakini sisi watu wenye tunamjua,tunajua riba zake nichocha tupu,kila mtu anajua hakuna kitu ingine Shonde hufanya kama si kuchana,kuchoma ama kukunywa. Kama hutampata akifanya hizo vitu,basi ako mjei akisaka dooh za kufanya hizo vitu.Sa hii ni moja ya riba hizo mob za Shonde.Kuongea ukweli, mimi siwezi waambia kama ni ukweli ama ni chocha.Wewe soma,ujiamulie kama ni re-al ama ni ufala tu za Shonde.
Comments (2)
See all