Hadithi inaanza ikituonyesha ugeni katika eneo fulani duniani. Mgeni huyu hakuna mtu,jamii wala inchi inayotaka akaribie, mgeni huyu ni uviko19 anapenda kusafiri kutoka nchi moja hadi nyingine...
Kitabu hiki kimetengezwa kwajili ya watoto. Kitabu kinahusu ugonjwa wa Uviko19 (covid19) ugojwa uliolipuka mwishoni mwa mwaka 2019 mpaka kufikia march 2020 ulienea karibu dunia nzima.
kitabu kinaelezea ugonjwa wa Uviko19 baada ya kuingia eneo fulani na kusababisha shida kubwa katika eneo hilo vikiwemo vifo. Lakini alitokea shujaa mmoja ambae alipigana na kuushinda ugojwa wa Uviko19 kwasababu alitumia...
NB: Kitabu kimetengenezwa kwa mfumo mzuri wa picha kumsaidia mtoto aelewe vizuri na sio kupotosha. Pia kizuri kwa watu wa rika zote.
Comments (0)
See all